Month: February 2019

Mambo 13 Ambayo Humfanya Mwanaume Kuwa Boyfriend Material

Wanaume ni wengi ambao watakuapproach. Wengine ni wazuri umependezwa nao na wengine hujapendezwa wao. Lakini je, utajuaje ni mwanaume yupi anayefaa katika maisha yako? Kuna wanawake wengi ambao wamekabiliwa na mateso ya kuachwa na mwanaume mmoja hadi mwingine kisa ni kuwa hawajui kuchagua. Si kila mwanaume anayekuappoach na kukutongoza unapaswa kumkubali. Kile kinachohitajika kwanza ni …

MADHARA ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo …

Zijue sababu za ugumba kwa wanawake

Ugumba ni nini ?Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa   tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzito. utafiti uanonyesha katika kila ndoa tano au mahusiano matano ya kimapenzi basi uhusiano mmoja …

Hatua muhimu zitakazosaidia kudumu katika mahusiano yako ya kimapenzi

Mahusiano ya mapenzi yenye kudumu ni sharti yapandwe katika udongo wenye rutuba kama ulivyo mmea,yatahitaji maji ya kumwagilia na mbolea ya kukuzia.  Na zaidi ya yote yanahitaji muda wa kukua kabla matunda kuonekana.  Hizi ndizo  hatua muhimu zitakazokusaidia kudumu katika mahusiano yako ya mapenzi. MawasilianoMawasiliano ni muhimu sana baina ya wapenzi. Hata kama umebanwa na …

Namna ya Kujua Kama Umemridhisha Mpenzi Wako Kitandani

Raha ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baina ya wapenzi wawili ni kila mmoja kuwa na furaha na kuridhika kwa yale anayofanyiwa na mwenzake. Siku zote kila mmoja hujitahidi kufanya mambo ambayo anahisi yatamridhisha na kumfurahisha mwenza wake ili kuendelea kuyastawisha mapenzi baina yao. Watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kama vile kununuliana zawadi, kwenda kutembea …

Sababu Zinazowafanya Wanawake Wengi Kuplay Waume Zao

Mapenzi ni matamu ukipata mpenzi mnaependana. Mahusiano mengi huvunjika na chanzo kikuu huwa ni ‘uplayer’ kama ninavyopenda kuuita namba sita mgongoni. Lakini wanaume wengi hujiuliza kwa nini mwanamke wangu hatosheki na mimi. Tatizo litakuwa ni wewe mwanaume ndie unayechangia ama pia labda ni mkewako ambaye ana shida. So leo hapa Nesi Mapenzi tumekuja na majibu …