Month: March 2019

Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia penzi kuliko wanawake?

Kumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku. Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. …

Jinsi ya kuyanogesha mahusiano yenu ya kimapenzi

Leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya. Wengi wamekuwa hawaelewi mambo mengi kuhusu uhusiano ndiyo maana huishia kulalamika kwamba wanapenda sana lakini mwisho wa siku huishia kutendwa. Hakuna mtu ambaye hahitaji faraja, kila aliyekuwa na mpenzi wake anahitaji kuwa na furaha. Hakuna mtu ambaye anaingia kwenye …

Upendo wa Mapenzi unahitaji vitu hivi

Asante sana kwa kuendelea kutembelea Muungwana blog siku ya  leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo. 1. Imani Upendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa …

Epuka kufanya Mambo hayo kwa Mpenzi wako

Unapokuwa na mpenzi wako katika mahusiano, epuka sana kufanya vitu vya aina hii ambavyo vitasababisha mahusiano yenu kufa.1. Kuanza kuchelewa kutoka kazini mara kwa mara.Sio kwamba kila mtu anapochelewa kutoka kazini basi anakuwa sio mwaminifu, lakini zaidi ya asilimia 75 (kutoka kwenye tafiti) ya ambao wamekuwa na mahusiano nje wamekuwa wakitoa visingizio vinavyohusiana na kazi, …

Ufahamu ugonjwa wa kifafa kiundani zaidi

Huu ni ugonjwa ambao unasabababishwa na seli zilizopo katika  mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo kutoa umeme[impulses] mwingi kuliko kawaida kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na kusababisha mtu kupata dalili kama vile kuishiwa nguvu, kichwa kuuma, kuchanganyikiwa, mwili kukakamaa na hata kupoteza fahamu. Hali hii hujirudia mara kwa mara. Ifahamike kuwa, aina …

Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke

Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke. Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia. Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati na wanawake(zao),wakati mwingi unakuta mwanamke anacheka na kumsifia kuwa anamfurahisha(“hahahaha!…. unanifurahisha”). Kuambiwa na msichana kuwa …

Hizi ndio dalili 8 za kuonyesha umependwa na mwanaume lakini anaogopa kukuambia

Tukija maswala ya kutongoza, kuna mitindo tofauti tofauti ambayo wanaume hutumia ili kufaniikisha lengo lao. Kuna ule msemo unaosema ‘mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani, yaani unaweza kufuata njia tofauti tofauti kufika pahali lakini mwishowe utarudi pale pale sehemu moja, kewahiyo  kwa wanaume kila mmoja ana mbinu yake ya kutongoza. Usije kusema kuwa mwanaume …