Month: April 2019

Zitambue dalili na za mwanamke anayetaka kuachana nawe katika mahusiano .

Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya dakika moja na kutangaza kuvunja uhusiano, lakini kwa wanawake maamuzi yao mara nyingi hutanguliwa na dalili, ingawa hata wanaume nao wanazo. Uchunguzi unaonesha kuwa, wanawake wengi hawawezi kuficha sana hisia zao za mapenzi, …

Mambo yanayoweza kuteka moyo wa mwanamke .

Upweke, kwa hakika, huzaa migogoro isiyokwisha inayowafanya wanaume [ambao kimsingi ndio wasababishi wa upweke huo] washindwe kuwaelewa wanawake. Kwa mtazamo wao, ni vigumu kumridhisha mwanamke. Wengine wanaenda mbali na kufikiri , ‘mwanamke ni kiumbe mgumu kueleweka’ kwa sababu, ‘hata ufanye nini…hata umpe nini hawezi kuridhika’.    Lakini wanachosahau wanaume wenye mawazo haya ni kuwa mwanamke …

Jinsi ya Kuboresha Muonekano wa Makalio ya Mwanamke

KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikiriii nacho ni makalio.Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa  sana na watu wa Televisheni ya  Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.  Wanawake wengi kwa sasa wanakwenda kuboresha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili …

Njia 8 Zitakazo Kuonesha Kwamba Mwanamke Uliye Naye Atakusaidia Kuleta Mafanikio Katika Ndoa Yako !

Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la “Black Enterprise Magazine” la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani.Aliulizwa, “Bwana Obama, Je una hofu juu ya hali ya uchumi wa Marekani inavyoenda?”Ambapo Obama alijibu, “Hapana, sihofii uchumi wa Marekani, nina hofu na mke wangu..kwa sababu ana idea nyingi …

Hizi ndio dalili 8 za kuonyesha umependwa na mwanaume lakini anaogopa kukuambia

Tukija maswala ya kutongoza, kuna mitindo tofauti tofauti ambayo wanaume hutumia ili kufaniikisha lengo lao. Kuna ule msemo unaosema ‘mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani, yaani unaweza kufuata njia tofauti tofauti kufika pahali lakini mwishowe utarudi pale pale sehemu moja, kewahiyo  kwa wanaume kila mmoja ana mbinu yake ya kutongoza. Usije kusema kuwa mwanaume …

HADITHI MPYA YA SHIGONGO: MY HEART IS BLEEDING (MOYO WANGU UNAVUJA DAMU)

NI hadithi mpya yenye kusisimua ambayo itakufundisha mambo mengi ya kuhusu maisha na mapito yake, itakuhitaji uwe mvumilivu na mwenye moyo mgumu kuzuia machozi yasikutoke maana hisia zako zitaguswa na moyo wako utageuzwa ndani-nje.  Washiriki katika hadithi hii ni: Raymond Kijiko – Mwanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha jijini Dar es Salaam, mtanashati, anayejisikia, mwenye …