Month: April 2019

Jinsi Ya Kumfanya Mwanaume Akupende Mwenyewe

Unampenda mwanaume flani lakini hajaonyesha dalili zozote za kukupenda? Umejaribu kutumia maujanja yako uliobarikiwa nayo kama mwanamke lakini bado unashindwa kuinasua akili yake? Kumfanya mwanaume akupende si jambo gumu la kufanya, kile unachohitaji ni kutumia mbinu hakika ambayo imefanyiwa utafiti na kuonyesha kuwa inafanya kazi mia kwa mia. Tukirudia kutumia mbinu hakika ni kuwa kama …

Sifa za Mahusiano ya Kudumu Katika Mapenzi

Kikubwa kinachotafutwa na wapendanao huwa ni furaha ya moyo. Wapendanao wanapaswa kuishi kwa furaha, amani na upendo. Uhusiano wao uwe sehemu ya kudumisha urafiki, udugu na kwa pamoja muweze kuishi vizuri. Wapendanao wanatengeneza umoja wao ambao ni wa kutiana moyo pale mambo yanapokuwa si mazuri. Wakati wa matatizo na wakati wa furaha wanakuwa pamoja, wanategemeana …

Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke

Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke. Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia. Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati na wanawake(zao),wakati mwingi unakuta mwanamke anacheka na kumsifia kuwa anamfurahisha(“hahahaha!…. unanifurahisha”). Kuambiwa na msichana kuwa …

HADITHI: Tunda Tamu

Mapaa ya nyumba yanaonekana. Mchukua kamera ambaye yupo kwenye ndege anaendela kufanya kazi yake vyema. Moja kwa moja Picha inaonyesha Benki Fulani ambayo watu wapo katika misururu mirefu. Ko! Ko! Ko! Ko! Ilikuwa ni sauti ya viatu vya mchuchumio vilivyowafanya watu wageuze shingo zao kuelekea kule sauti inapojia. Macho yao hayakuamini kile walichokuwa wamekiona. Alikuwa …