Month: April 2019

Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na yeye.Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako. Well, haya si matatizo makubwa kwani kama unataka kumtongoza na kumuwini hadi …