Mambo 10 ambayo ni Sumu katika Mapenzi

KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii huzungumzia …

Mambo yatakayokusaidia mwanamke kuongeza ladha katika mahusiano ya mapenzi

Hizi ndizo njia bora za kuongeza ladha katika mapenzi Itakuwa vyema kwako mwanadada kuhakikisha anamfanyia hivi mwanaume wa ndoto zako. Usimlinganishe na wengine. Hakuna mwanaume anayependa kulinganishwa na wanaume wengine katika mahusiano, kama uliyenaye unampenda kwa moyo wako wa dhati basi hakikisha ya kuwa unamuone yeye pekee. Yawezekana umekuwa na mchumba mmoja tu, ama yeye …

Unachotakiwa kufanya unapokuwa umeachwa katika mahusiano ya kimapenzi

Mapenzi yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma sababu ulikuwa na maono ya mbali na penzi lako. Unaumia kwa sababu hukutegemea kama safari ya uhusiano wenu itaishia katika hatua hiyo. Inawezekana ulifikiri kwamba mngefika kwenye hatua ya ndoa lakini haikuwa hivyo. Yawezekana ulikuwa …

vyanzo 10 vya migogoro katika ndoa

Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima. Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano. Migongano ambayo inaweza ikarekebishika …