Afya

Faida ya kunywa chai ya Tangawizi

Tangawizi ni moja ya kiungo ambacho husaidia kuleta ladha na harufu nzuri kwenye chai. Miongoni mwa faida za kutumia tangawizi ni pamoja na kusaidia mfumo wa ummeng’enyaji wa chakula tumboni. Tangawizi pia husaidia sana kwa wale wenye matatizo ya kuhisi maumivu mara kwa mara kwenye viungo, hivyo matumizi ya chai yenye tangawizi huwa na nafasi …

Zifahamu Faida 6 za Juisi ya Tangawizi, Halafu Nenda Kajaribu Uone Ajabu Yake..!!!

Tangawizi ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika.Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi.Leo nataka kukueleza msomaji wangu kuhusu hizi faida nyingine za kutumia juisi ya tangawizi kama ifuatavyo:-1. Hutumika kama kituliza …

Matumizi ya ndizi katika urembo .

Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi. Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama ‘sucrose’, ‘fructose’ na ‘glucose’. Hakikisha unanawa uso wako mara tatu kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu. Ndizi pia husaidia kuzuia chunusi. Hakikisha unanawa uso kwa sabuni ambayo inaendana …

Madhara ya Kukaa na Mkojo Kwa Muda Mrefu

Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo kitu cha hiyari kwamba sasa mtu anaamua ngoja nibanwe na mkojo, hili ni jambo la asili na ni matokeo ya vyakula, matunda au vinywaji tunavyotumia. Kwa lugha nyingine tumekuwa tukiita kuwa ni wito wa asili au nature’s call. Yawezekana mtu akawa katika mkutano, …