Kitandani

Mambo yatakayokusaidia mwanamke kuongeza ladha katika mahusiano ya mapenzi

Hizi ndizo njia bora za kuongeza ladha katika mapenzi Itakuwa vyema kwako mwanadada kuhakikisha anamfanyia hivi mwanaume wa ndoto zako. Usimlinganishe na wengine. Hakuna mwanaume anayependa kulinganishwa na wanaume wengine katika mahusiano, kama uliyenaye unampenda kwa moyo wako wa dhati basi hakikisha ya kuwa unamuone yeye pekee. Yawezekana umekuwa na mchumba mmoja tu, ama yeye …

Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke

Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke. Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia. Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati na wanawake(zao),wakati mwingi unakuta mwanamke anacheka na kumsifia kuwa anamfurahisha(“hahahaha!…. unanifurahisha”). Kuambiwa na msichana kuwa …

Namna ya Kujua Kama Umemridhisha Mpenzi Wako Kitandani

Raha ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baina ya wapenzi wawili ni kila mmoja kuwa na furaha na kuridhika kwa yale anayofanyiwa na mwenzake. Siku zote kila mmoja hujitahidi kufanya mambo ambayo anahisi yatamridhisha na kumfurahisha mwenza wake ili kuendelea kuyastawisha mapenzi baina yao. Watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kama vile kununuliana zawadi, kwenda kutembea …