Mahaba

Mambo 10 ambayo ni Sumu katika Mapenzi

KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii huzungumzia …

Mambo ambayo wanawake wengi hudanganya wanapoingia kwenye mahusiano

Najua sio raisi kukubali haya, lakini kuna aina ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake, lakini leo tutaangalia vipengele ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana kama ifutavyo; UmriWanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri mdogo, wanawake walio na miaka …

Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa au Uchumba

Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako. HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORONi ukweli usiopingika kuwa, katika hali ya kawaida, ukiwa mbali na mtu …

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Atabasamu Na Apende Kuwa Na Wewe Wakati Wote.

Kama tunataka kutongoza mwanamke, kuwafurahisha ama wajiskie huru mbele zetu huwa tunatumia mbinu ya kuwafanya watabasamu. Kutabasamu ni njia moja wapo ya kuondoa misongo ya mawazo, uchovu, na hata kuondoa uzee. Ndio maana wazungu walikuja na ule msemo wa laughter is the best medicine. Kabla hatujaingia katika swala la jinsi ya kumfanya mwanamke atabasamu, lazima …

Jinsi Ya Kumfanya Mwanaume Amsahau Mpenzi Wake Wa Zamani Ili Aje Kwako

Naamini hii hali ishawahi kukutokea wakati mmoja au mwengine, kuna mwanaume flani ambaye umependezwa naye lakini bado fikra zake ameziweka kwa mpenzi wake wa zamani. Ama umeanza kuchumbiana na mwanaume halafu baadae ukagundua kuwa huyu mwanaume mara kwa mara anamtaja mpenzi wake wa zamani katika maongezi yenu. Leo kama Daktari Mapenzi tumeamua kukomesha hili janga …