RahaTupu

Jinsi Ya Kuongea Na Mwanaume Na Umfanye Apendezwe Nawe

Karibu Nesi Mapenzi. Kama tulivyotangulia kusema awali katika ukurasa wetu wa Facebook, tumeanza kuandika officially machapisho ya akina dada zetu. Tumeonelea kuipanua himaya yetu ili tuweze kutangamana na akina dada zetu pia. Awali tumekuwa tukiandika baadhi ya machapisha ya kuhusiana na wanawake katika hii blog lakini tukahamisha kwa blog nyingine ya Daktari Mapenzi. Lakini sahizi …

Dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano ujue mnaendana

Wataalamu wa mahusiano wanasema kuwa kuna dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano yako basi amini kuwa ninyi mnaendana na pia mapenzi yenu yatadumu 1. Uhusiano wenu uwe na uwiano. Mahusiano ambayo yamefanikiwa ni yale yenye uwiano sahihi. Katika mahusiano mtakuwa tofauti wakati mwingine, na utofauti huu lazima ulete ulingano. Mfano, kuna ambao hupenda sana kutoka …

Vifahamu vitu vidogo vidogo ambavyo huzidisha utamu wa mahusiano

MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye majonzi kwa muda mrefu. Amini akili yako ina majibu juu ya changamoto inayokukumba na …

Sifa zitakazokuonesha mwanamke ambaye ni sahihi zaidi kwako

Katika  maisha haya  ya kila siku hususani katika kipengele cha  kimahusiano, wanaume  wengi huwa wanakutatana na wanawake wa aina tofauti tofauti, ila wengi wao bado hawajatambua ni yupi hasa ni mwanake sahihi katika maisha yao. Makala ya leo inakuangazia sifa ambazo zitakuonesha mwanamke ambaye  ni sahihi zaidi kwako kama ifutavyo: 1. Mwanamke ambaye ni mkweli.Mwanaume, …

Mambo 13 Ambayo Humfanya Mwanaume Kuwa Boyfriend Material

Wanaume ni wengi ambao watakuapproach. Wengine ni wazuri umependezwa nao na wengine hujapendezwa wao. Lakini je, utajuaje ni mwanaume yupi anayefaa katika maisha yako? Kuna wanawake wengi ambao wamekabiliwa na mateso ya kuachwa na mwanaume mmoja hadi mwingine kisa ni kuwa hawajui kuchagua. Si kila mwanaume anayekuappoach na kukutongoza unapaswa kumkubali. Kile kinachohitajika kwanza ni …