StoryTamu

SIMULIZI FUPI ,,,LOVE STORY

Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa.Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka na kumtaka aje nyumbani kwake, yule kijana alifurahi na kuhisi sasa ombi lake limekubaliwa.   Akiwa …

Hakuna Malaya Hapa Duniani ni Unafiki tu Unatusumbuwa, Na Hakuna Demu wa Bure Duniani hili Lieleweke Vizuri

Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical. Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita malaya. Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja. Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais …

HADITHI MPYA YA SHIGONGO: MY HEART IS BLEEDING (MOYO WANGU UNAVUJA DAMU)

NI hadithi mpya yenye kusisimua ambayo itakufundisha mambo mengi ya kuhusu maisha na mapito yake, itakuhitaji uwe mvumilivu na mwenye moyo mgumu kuzuia machozi yasikutoke maana hisia zako zitaguswa na moyo wako utageuzwa ndani-nje.  Washiriki katika hadithi hii ni: Raymond Kijiko – Mwanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha jijini Dar es Salaam, mtanashati, anayejisikia, mwenye …

HADITHI: Tunda Tamu

Mapaa ya nyumba yanaonekana. Mchukua kamera ambaye yupo kwenye ndege anaendela kufanya kazi yake vyema. Moja kwa moja Picha inaonyesha Benki Fulani ambayo watu wapo katika misururu mirefu. Ko! Ko! Ko! Ko! Ilikuwa ni sauti ya viatu vya mchuchumio vilivyowafanya watu wageuze shingo zao kuelekea kule sauti inapojia. Macho yao hayakuamini kile walichokuwa wamekiona. Alikuwa …

RAHA YA MAPENZI NI KUPENDWA(SEHEMU YA 1)

Katika maisha ya upendo,Salma anakutana na kijana mmoja aitwae Hamisi.Ilikuwa ni siku ya jumatatu asubuhi na mapema,wakati jua lilikuwa linachomoza,ndani ya jiji la Mwanza.Watu walikuwa katika pirika pirika za kuelekea kwenye kutafuta riziki.Katika hali isiyo ya kawaida,Hamisi akiwa ni mfanya biashara mkubwa pale mjini Mwanza,anasimamisha gari yake pembeni mwa Barabara,baada ya kumuona msichana mrembo,akiwa anatembea …