Ushauri

Jinsi Ya Kurespond Baada Ya Mwanamke Kukukataa

Hali kama hii hutokea mara kwa mara kwa kila mwanaume. Hakuna mwanaume anaweza kusema kuwa hajawahi kukataliwa na mwanamke. Na iwapo kuna mtu anasema kuwa hajakataliwa na mwanamke, basi huyo ni mwanaume zege anayeogopa kutongoza wanawake kadhaa.Tukirudi kwa mada, ni kuwa umekuwa ukimfukizia huyu mwanamke kila siku. Umetumia mbinu zote za kijanja tulizokupatia. Umejaribu kama …

Mambo 13 Ambayo Humfanya Mwanaume Kuwa Boyfriend Material

Wanaume ni wengi ambao watakuapproach. Wengine ni wazuri umependezwa nao na wengine hujapendezwa wao. Lakini je, utajuaje ni mwanaume yupi anayefaa katika maisha yako? Kuna wanawake wengi ambao wamekabiliwa na mateso ya kuachwa na mwanaume mmoja hadi mwingine kisa ni kuwa hawajui kuchagua. Si kila mwanaume anayekuappoach na kukutongoza unapaswa kumkubali. Kile kinachohitajika kwanza ni …

Epuka kufanya Mambo hayo kwa Mpenzi wako

Unapokuwa na mpenzi wako katika mahusiano, epuka sana kufanya vitu vya aina hii ambavyo vitasababisha mahusiano yenu kufa.1. Kuanza kuchelewa kutoka kazini mara kwa mara.Sio kwamba kila mtu anapochelewa kutoka kazini basi anakuwa sio mwaminifu, lakini zaidi ya asilimia 75 (kutoka kwenye tafiti) ya ambao wamekuwa na mahusiano nje wamekuwa wakitoa visingizio vinavyohusiana na kazi, …

Mwanaume ambaye hakutaki umtajua kwa tabia hizi hapa

Kuna ishara nyingi ambazo ni vyema tukajifunza ili kuwa makini na kuchukua hatua pale unapoziona kwa mwanaume. Ni vigumu kukubaliana nazo lakini ukweli siku zote huwa unabaki palepale lazima tujifunze kama ifuatavyo: Kutokujali Ukiona mwanaume ameacha kabisa kukujali. Tofauti na namna ambavyo alikuwa mwanzo kwamba atakuuliza umekula, upo wapi ujue kabisa mtu huyo ameshakutoa moyoni. …

Sifa zitakazokuonesha mwanamke ambaye ni sahihi zaidi kwako

Katika  maisha haya  ya kila siku hususani katika kipengele cha  kimahusiano, wanaume  wengi huwa wanakutatana na wanawake wa aina tofauti tofauti, ila wengi wao bado hawajatambua ni yupi hasa ni mwanake sahihi katika maisha yao. Makala ya leo inakuangazia sifa ambazo zitakuonesha mwanamke ambaye  ni sahihi zaidi kwako kama ifutavyo: 1. Mwanamke ambaye ni mkweli.Mwanaume, …