Wakubwa

vyanzo 10 vya migogoro katika ndoa

Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima. Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano. Migongano ambayo inaweza ikarekebishika …

Mambo ambayo yanawakera wanawake waliopo katika mahusiano ya ndoa

Yafutayo ndiyo mambo ambayo wanawake huwa wanakereka sana wanapofanyiwa na wanaume zao katika suala la mahusiano, Japo wanaume wengi huwa  hawawazi kama wanayofanya huenda wakawa wanawakosea wake zao. Ila wanaume ambao wanasoma makala haya pindi utakaposoma  makala hii unatakiwa kubadilika mara moja ili usiwe unamkwaza mkeo kwa makusudi. Yafuatayo ndiyo mambo wanawake wengi huwa yanawakera …

Kanuni kumi ’10’ za kuwa mke mwema

UHALISI WA MAISHA:Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU:Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na …

Hatua 10 za kumchagua Mchumba

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni. Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza …

Vitu Vinavyoweza Kuwa Sumu Katika Mapenzi.

Ni vizuri zaidi kuhisi kuwa wewe na mpenzi wako mnapendana sana na kila mmoja amefika kwa mwenzie na hakuna kinachoweza kuwatenganisha, akini kumbuka kuna vitu unaweza kuvifanya katika mahusiano na ukahisi kuwa ni sehemu ya kumuonyesha ulienae kuwa unampenda lakini kumbe unaenda kubomoa kabisa huko mbeleni.Jaribu kuepuka vitu hivi ili kuhakikisha kuwa uliyenae anakuwa wako …