Mambo 13 Ambayo Humfanya Mwanaume Kuwa Boyfriend Material

Wanaume ni wengi ambao watakuapproach. Wengine ni wazuri umependezwa nao na wengine hujapendezwa wao. Lakini je, utajuaje ni mwanaume yupi anayefaa katika maisha yako? Kuna wanawake wengi ambao wamekabiliwa na mateso ya kuachwa na mwanaume mmoja hadi mwingine kisa ni kuwa hawajui kuchagua. Si kila mwanaume anayekuappoach na kukutongoza unapaswa kumkubali. Kile kinachohitajika kwanza ni …

Wanaume: Vijue Visa vya Michepuko Mjini…

Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia “worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva” Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya …

Zitambue dalili na za mwanamke anayetaka kuachana nawe katika mahusiano .

Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya dakika moja na kutangaza kuvunja uhusiano, lakini kwa wanawake maamuzi yao mara nyingi hutanguliwa na dalili, ingawa hata wanaume nao wanazo. Uchunguzi unaonesha kuwa, wanawake wengi hawawezi kuficha sana hisia zao za mapenzi, …

Mambo yanayoweza kuteka moyo wa mwanamke .

Upweke, kwa hakika, huzaa migogoro isiyokwisha inayowafanya wanaume [ambao kimsingi ndio wasababishi wa upweke huo] washindwe kuwaelewa wanawake. Kwa mtazamo wao, ni vigumu kumridhisha mwanamke. Wengine wanaenda mbali na kufikiri , ‘mwanamke ni kiumbe mgumu kueleweka’ kwa sababu, ‘hata ufanye nini…hata umpe nini hawezi kuridhika’.    Lakini wanachosahau wanaume wenye mawazo haya ni kuwa mwanamke …

Jinsi ya Kuboresha Muonekano wa Makalio ya Mwanamke

KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikiriii nacho ni makalio.Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa  sana na watu wa Televisheni ya  Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.  Wanawake wengi kwa sasa wanakwenda kuboresha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili …

Njia 8 Zitakazo Kuonesha Kwamba Mwanamke Uliye Naye Atakusaidia Kuleta Mafanikio Katika Ndoa Yako !

Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la “Black Enterprise Magazine” la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani.Aliulizwa, “Bwana Obama, Je una hofu juu ya hali ya uchumi wa Marekani inavyoenda?”Ambapo Obama alijibu, “Hapana, sihofii uchumi wa Marekani, nina hofu na mke wangu..kwa sababu ana idea nyingi …