Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa au Uchumba

Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako. HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORONi ukweli usiopingika kuwa, katika hali ya kawaida, ukiwa mbali na mtu …

SIMULIZI FUPI ,,,LOVE STORY

Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa.Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka na kumtaka aje nyumbani kwake, yule kijana alifurahi na kuhisi sasa ombi lake limekubaliwa.   Akiwa …

Ukiwa na tabia hizi 7, lazima mwanaume akukimbie

1. CHOKOCHOKOWanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi ugomvi hivyo mwanamke anapokuwa hodari wa kuleta chokochoko, huepukwa. Ni vyema basi mwanamke akachunga kauli. Akawa si mtu wa kuchimbachimba vitu ambavyo havina kichwa wala miguu. Asiwe na kisirani. Kinywa chake kitawaliwe …

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Atabasamu Na Apende Kuwa Na Wewe Wakati Wote.

Kama tunataka kutongoza mwanamke, kuwafurahisha ama wajiskie huru mbele zetu huwa tunatumia mbinu ya kuwafanya watabasamu. Kutabasamu ni njia moja wapo ya kuondoa misongo ya mawazo, uchovu, na hata kuondoa uzee. Ndio maana wazungu walikuja na ule msemo wa laughter is the best medicine. Kabla hatujaingia katika swala la jinsi ya kumfanya mwanamke atabasamu, lazima …

Vitu Vinavyoweza Kuwa Sumu Katika Mapenzi.

Ni vizuri zaidi kuhisi kuwa wewe na mpenzi wako mnapendana sana na kila mmoja amefika kwa mwenzie na hakuna kinachoweza kuwatenganisha, akini kumbuka kuna vitu unaweza kuvifanya katika mahusiano na ukahisi kuwa ni sehemu ya kumuonyesha ulienae kuwa unampenda lakini kumbe unaenda kubomoa kabisa huko mbeleni.Jaribu kuepuka vitu hivi ili kuhakikisha kuwa uliyenae anakuwa wako …

Hakuna Malaya Hapa Duniani ni Unafiki tu Unatusumbuwa, Na Hakuna Demu wa Bure Duniani hili Lieleweke Vizuri

Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical. Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita malaya. Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja. Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais …